Home » » Kutoka Kwenye Kikao Cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM(NEC)mjini Dodoma

Kutoka Kwenye Kikao Cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM(NEC)mjini Dodoma


Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifuatana na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifuatana na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa na Mjumbe wa Kamati Kuu
ya CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni baada ya kuwasili
Chama, alipowasili kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma,
kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) mjini Dodoma leo.
6. Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishauriana jambo na
Katibu Mkuu wa CCM, WisoMakamu (kushoto) baada ya kupiga picha ya pamoja
na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo, kwenye viwanja vya
Ofisi ya Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma. Wengine Makamu Mwenyekiti wa
CCM (Bara) Pius Msekwa, Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Yussuf Makamba  na
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia wana-CCM, alipowasili kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishiriki kucheza wimbo wa hamasa ya Chama, alipowasili kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) mjini Dodoma leo.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishiriki kucheza wimbo wa hamasa ya Chama, alipowasili kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) mjini Dodoma leo.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Samwel Sitta akimsalimia kwa unyenyekevu Mjumbe mwenzake, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, nje ya ukumbi, kabla ya kikao cha NEC mjini Dodoma leo.
Mjumbe wa NEC, Frederick Sumaye akimweleza jambo Mjumbe wa NEC mwenzake
Kingune Ngombale-Mwilu, baada ya kukutana nje ya ukumbi, kabla ya kikao
cha NEC mjini Dodoma leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akishauriana jambo na Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, ukumbini kabla ya kuanza kikao
cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma leo.
Baadhi ya wajumbe wa NEC wakiwa ukumbini kwenye kikao cha NEC mjini Dodoma leo kutoka kulia ni mzee kingunge,edward lowassa,fredrick sumaye,cleopa msuya,shamsi nahodha na spika wa bunge la baraza la wawakilishi Hamed Pandu Kificho
Baadhi ya wajumbe wa NEC nje ya ukumbini tayari kabsia kupiga picha ya pamoja kwenye kikao cha NEC mjini Dodoma leo.Picha Zote na Bashir Nkromo-Dodoma

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa