Fundi wa rangi akipaka rangi kingo za barabara kama alivyokutwa jana
katika eneo la stendi ya mabasi yaendayo mikoani mjini
Dodoma,Manispaa hiyo imekuwa ikikarabati barabara hizo katika mji huo
ambao ni makao makuu ya nchi.
Picha na Masoud Masasi.
CHANZO: www.blogszamikoa.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment