Mfanyabiashara ya kuuza soksi wilayani kondoa akiwa ameweka bidhaa
zake kwenye fimbo kama alivyokutwa juzi katikati ya mji
huo,wafanyabishara wengi wilayani hapa wamekuwa wakitumia staili hiyo
ingawa vijana wengi wilayani hapa wamekuwa wakiacha masomo na
kujiingiza katika shughuli hizo.
Picha na Masoud Masasi
Chanzo: www.blogszamikoa.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment