Home » » PICHA ZA WAFUGAJI WAKIANGALIA AINA YA NG'OMBE AINA YA MPWAPWA WANAOSTAMILI UKAME‏

PICHA ZA WAFUGAJI WAKIANGALIA AINA YA NG'OMBE AINA YA MPWAPWA WANAOSTAMILI UKAME‏




 Mkuu wa Idara ya wanyama wa dogo katika taasisi ya taifa ya utafiti wa
mifugo kilichopo wilayani Mpwapwa Zakaria Magubu akitoa maelekezo
jinsi ya kuwahudumia mbuzi na kondoa ili wasiweze kupatwa na magonjwa
kwa wafugaji wa kata ya Massa juzi wilayani hapa.Picha na Masoud
Masasi. wa Blogs za Mikoa 


 Wafugaji katika kata ya Massa wilayani Mpwapwa wakitazama ng'ombe aina
ya Mpwapwa ambao wameelezwa wanastahimili hali ya ukame walipotembelea
juzi taasisi ya taifa ya utafiti wa mifugo kilichopo wilayani kwenye
ziara yao ya kupata elimu kuhusiana na mifugo.Picha na Masoud Masasi.




www.blogszamikoa.blogspot.com

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa