Home » » HIVI NDIVYO ILIVYO KUWA BUNGENI LEO

HIVI NDIVYO ILIVYO KUWA BUNGENI LEO



wabunge wa upinzani wakiwa wamesimama wote kwa pamoja kupinga hoja leo Bungeni.


Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni,Mh. Tundu Lissu akitoka ndani ya ukumbi wa Bunge leo.
Naibu Spika Bunge,Mh. Job Ndugai (kulia) akionyeshwa makabrasha na Mbunge wa Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassari muda mfui baada ya kuahurishwa kwa kikao cha Bunge leo.
Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni,Mh. Tundu Lissu (kulia) akijadiliana jambo na Naibu Spika wa Bunge,Mh. Job Ndugai nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.Wengine ni Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassari na Mbunge wa Iringa Mjini,Mchungaji Msigwa.
Picha na Mwanakombo Jumaa,Maelezo.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa