Home » » KIKAO CHA KAZI CHA MAAFISA HABARI WA SERIKALI CHAFANYIKA DODOMA

KIKAO CHA KAZI CHA MAAFISA HABARI WA SERIKALI CHAFANYIKA DODOMA



Picha na 1Waziri
wa Habari, Vijana ,UtamaduninaMichezoDkt. Fenella Mukangara akifungua
mkutano wa maafisa Habari, Elimu na Mawasiliano wa serikali mjini
Dodoma. Pamoja na mambo mengine amewataka kufanya kazi   kwa kuzingatia
weledi na kutoa taarifa sahihi kwa umma mara kwa mara kuhusu shughuli
mbalimbali zinazofanywa na serikali.
Picha na 2Maafisa
Habari, Elimu na Mawasiliano wa Serikali wakiwa katika picha ya pamoja
naWaziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo mara baada ya ufunguzi
wa kikao kazi hicho  mjini Dodoma.
Picha na 3Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba
Nkinga akizungumza na Maafisa Mawasiliano wa Serikali wakati wa Kikao
kazi hicho mjini Dodoma.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa