Home » » Kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma leo.

Kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma leo.


Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Ufundi, Shukuru Kawambwa, akionyesha kimoja kati ya vitabu vinavyotumika
mashuleni alipokuwa akijibu hoja mbalimbali
zinazohusu elimu baada ya Mbunge wa kuteuliwa wa  NCCR- Mageuzi, James Mbatia, kuwakilisha hoja yake binafsi ya
Udhaifu uliopo katika sekta ya elimu nchini.

 Mwanasheria Mkuu Mkuu
wa Serikali Mh. Jaji Frederick Werema (kulia) akibadilishana mawazo na Naibu
Wazir wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla,Jana Bungeni mjini
Dodoma.

 Mbunge
wa Iramba
Magharibi Mwingulu Nchemba (kulia) akizungumza na Mbunge wa Arumeru
Mashariki kupitia CHADEMA, Joshua Nasari, kwenye viwanja vya Bunge mjini
Dodoma jana

 Waziri  wa Katiba na Sheria Mathias Chikawe (kulia)
akizungumza na
  Mbunge wa Korogwe Mjini, Yusuph Abdallah Nassir, katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana

 Waziri wa
Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo
  Dkt.
Fenella Mukangara (kulia) akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa Sheria na
Katiba, Angellah Kairuki (katikati) pamoja na Mbunge wa Viti maalumu
  Ester Bulaya, katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma, jana.

 Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Ufundi, Shukuru Kawambwa (kushoto), Mbunge wa Viti Maalumu, Margaret
Sitta (wa pili kushoto)
 na
Waziri wa fedha William Mgimwa (mwenye miwani) pamoja na Mbunge wa kuteuliwa
James Mbatia (kulia) wakibadilisha mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana,
  baada ya Mbunge  James Mbatia kuwaslisha hoja yake binafsi
kuhusu Udhaifu uliopo katika sekta ya Elimu nchini.


Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa