Home » » KUTOKA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

KUTOKA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA


 Mbunge wa Mbeya Mjini
Joseph Mbilinyi akichangia hoja katika Bunge- Dodoma.
 Mussa Zungu
Azzan (ILALA) na
  Mbunge wa Mafia
Abdulkarim Shah (kulia)
  wakibadilishana
mawazo ndani ya ukumbi wa Bunge Dodoma.
 Naibu Waziri
wa Fedha Janet Mbene (kulia), Mwingulu Nchemba (katikati) , na Vick Kamata
(Viti Maalumu ) kushoto, wakiwa katika picha ya pamoja
  Bungeni – Dodoma.
Mbunge wa Peramiho
Jenista Mhagama akichangia na kuunga mkono hoja
ya Mbunge wa  Nzega  Dkt,Hamis Kigwangala ya kuita Serikali
ianzishe mpango maalumu wa kukuza ajira kwa vijana kwa kuanzisha Mfuko wa
Mikopo ya Vijana wanaowekeza kwenye kilimo na viwanda venye uhusiano wa moja
kwa moja na kilimo. 

PICHA ZOTE NA MWANAKOMBO JUMAA- MAELEZO.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa