Home »
» NITAMNG’OA SPIKA MAKINDA-MBUNGE
NITAMNG’OA SPIKA MAKINDA-MBUNGE
Mbunge wa Nzegamkoani
Tabora ,Dkt.Hamisi Kig wangalla ,amesema bado ana dhamira ya kuwasi
lisha hoja ya kumng’ oa madarakani Spika wa B unge, Bi.Anne Makinda.
Alisema uvumi ulioenea kuwa hoja yake imeondolewa kwa agizo la Chama Cha Mapinduzi (CCM), hauna ukweli.
Dkt.
Kigwangalla aliyasema hayo mwishoni mwa wiki katika mkutano wa hadhara u
lioshirikisha wakazi wa jimbo hilo na vitongoji vya ke uliofanyika
katika Uwanja wa Parking.
Katika mkutano huo, Dkt. Kigwangalla
aliulizwa swali na mkazi wa jimbo hilo kama kweli ana ubavu wa kumng’oa
Bi.Makinda, anayetoka na na chama chake.
“Mheshimiwa mbunge,naomba
utu thibitishie kama una uwezo wa kumng’oa Spika wa Bunge (Makinda),
kama ulivyotangaza dhamira ya kuw asilisha hoja binafsi bungeni ili
bunge liweze kumng’oa.
“Kwa jinsi tunavyofahamu utaratibu ndan i ya
CCM, huna ubavu wa kufanya hivyo , ina onesha ulikuwa ukijifurahisha
tu,”alihoji mwananchi huyo.
Mwananchi huyo aliongeza kuwa, kwa
kawaida CCM ina utaratibu wa kuzuia hatua mbalimbali zinazotaka
kuchukuliwa na wanachama wake hivyo alimshauri Dkt.Kigwangalla, aacha ne
na hoja hiyo kwani hana ubavu wa kumng’oa Bi.Makinda.
Akijibu swali
hilo,Dkt. Kigwangalla alisema,si kw eli kwamba CCM ina utaratibu wa
kuondoa kin yemela hoja ambazo haikubaliani nazo ambapo suala la kutaka
kumng’oa Bi. Makinda lipo ndani ya uwezo wake na kufafanua kuwa, ho ja
hiyo haijaondolewa na hivi sasa ipo katika hatua za mwisho ili iweze
kufikishwa bungeni.
“Kwa hili la kumng’oa Spika wa Bunge,niwaele ze
wazi kuwa si kweli linaweza kunishinda... hoja imewasilishwa na Bi.
Makin da atang’oka kama nikiamua kuendelea nayo kwa sababu tayari hoja
nimeiwasilisha na nimekidhi masharti yote.
“Hivi tunavyoongea, hoja
yangu tayari imeto ka hatua ya kwanza na kukidhi vigezo vyote sasa
inaenda hatua ya pili ambayo Kamati ya Bunge y a Haki, Maadili na
Madaraka ya Bunge,itaamua hoja yangu iingizwe bungeni au
isiingizwe,”alisema .
Aliongeza kuwa,baada ya hapo utafuata mcha
kato wa mwisho ambao ni hoja hiyo kufikishwa bungeni na yeye
kuiwasilisha rasmi mbele y a Bunge ili kufanyiwa uamuzi na wabunge wote
kwa kupiga kura na kama atashinda au kushind wa,hilo ni jambo lingine.
Dkt.Kigwangalla
alisema uamuzi wa kuo ndoka au kutoondoka kwa Spika, kutategeme au
amuzi wa wabunge wenzake na kusisitiza kuwa , CCM haiwezi kuzuia hoja
hiyo bila ya kupatiwa uamuzi na wabunge wote.
Akijibu swali ambalo
lilihusiana na fedha za ushuru wa huduma zilizotolewa na Mgodi wa
Dhahabu wa Resolute, ulioko wilayani humo, Dkt. Kigwangalla alisema
fedha hizo sh.bilioni2.340,zililipwa na mgodi huo na s asa zimehifadhiwa
katika akaunti maalumu ili baadaye zitumike kama mtaji wa kuanzishia
Benki ya Maendeleo ya Wananchi wa Nzega.
“Fedha hizi tulizipigania
kwa kiasi kikubwa hadi kuandamana lakini tulifanikiwa kuzipata,
niwathibitishie zipo salama katika akaunti maalumu tuliyoianzisha ili
baadaye ziweze kuanzisha Benki yetu ya Maendeleo ambayo itaweza kutupa
mikopo ya kuendesha shughuli zetu,”alisema .
Alisema lengo lake ni
kuhakikisha fedha hizo zinatumika vizuri ili kuwasaidia wananchi w a
Nzega kubadilisha maisha yao ambapo watu watahamasishwa kujiunga katika
ushirika au SACCOS ili waweze kupewa mikopo p ia zitatumika kununulia
mitambo ya kutengeneza barabara na uchimbaji visima vya maji.
Gazeti
moja linalotoka kila siku (si Majira), liliandika habari inayosema Dkt.
Kigwangalla anadai Bi. Makinda amekiuka kanuni kwa kuidhinisha malipo
ya sh. 430,000 kama posho kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti,
tofauti na wajumbe wa kamati nyingine ambao malipo yao ni sh. 180,000
kwa siku.
Hoja hiyo ilipingwa vikali na baadhi ya wabunge akiwemo
Mbunge wa Tabora Mjini, Bw. Ismail Aden Rage (CCM) na Mbunge wa Kigoma
Kusini, Bw. David Kafulila (NCCR-Mageuzi) ambao walidai hawaoni sababu
ya kumuondoa Bi. Makinda madarakani.
Bw. Kafulila alisema hilo ni
suala la wana-CCM, kwani Bi. Makinda aking’olewa madarakani, mtu ambaye
ataziba pengo lake hawezi kutoka upinzani. Hoja hiyo ya Dkt. Kigwangalla
iliibua mjadala kwa baadhi ya wabunge na wengine kukataa kusaini
karatasi ambayo walipelekewa ili kuunga mkono.
Mbunge wa Ludewa,
mkoani Njombe, Bw. Deo Filikunjombe, alisema hoja ya Dkt. Kigwangalla
imejengwa katika msingi hafifu isiyozingatia masilahi mapana ya nchi na
mtazamo finyu.
Chanzo;Majira
0 comments:
Post a Comment