Katibu wa
Bunge, anasikitika
kuwataarifu kifo cha mtumishi
wa Ofisi ya Bunge ktk
idara ya shughuli za Bunge, Mkurugenzi Msaidizi Ndg. Anselm L. Mrema
kilichotokea
jana usiku tarehe 10.11.2013 ktk
hospitali ya mkoa, Dodoma.
kuwataarifu kifo cha mtumishi
wa Ofisi ya Bunge ktk
idara ya shughuli za Bunge, Mkurugenzi Msaidizi Ndg. Anselm L. Mrema
kilichotokea
jana usiku tarehe 10.11.2013 ktk
hospitali ya mkoa, Dodoma.
Ofisi
inaendelea na taratibu za
mazishi kwa kushirikiana
na familia ya marehemu,
tutaendelea kuwapa taarifa zaidi
kutokana na msiba huo.
mazishi kwa kushirikiana
na familia ya marehemu,
tutaendelea kuwapa taarifa zaidi
kutokana na msiba huo.
Bwana ametoa na Bwana
ametwaa jina lake lihimidiwe. Amen!
ametwaa jina lake lihimidiwe. Amen!
11.11.2013.
Michuzi Blog
0 comments:
Post a Comment