Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid
(kushoto) na Mbunge wa Mkanyageni, Mohamed Habib Mnyaa,kabla ya kuanza
kwa kikao cha Bunge mjini Dodoma Desemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge kabla ya kipinda cha maswali kjwa Waziri Mkuu, Bungeni mjini Dodoma Desemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma Desemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dr. Fenella Mukangara kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Desemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya `Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma, Desemba 5, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:
Post a Comment