Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
mkoani Arusha mwaka jana na idadi hiyo inatarajia kuongezeka mwaka huu hadi kufikia pakiti milioni 9.9.
Taarifa ya matumizi ya mipira hiyo ya kiume, imetolewa juzi jioni mjini hapa na Geogre Magige, Meneja wa mikoa ya Arusha na
Manyara wa Shirika lisilo la kiserikali la Population Services International (PSI), ambalo hujishughulisha na uzalishaji na usambazaji wa kondomu nchini.
Manyara wa Shirika lisilo la kiserikali la Population Services International (PSI), ambalo hujishughulisha na uzalishaji na usambazaji wa kondomu nchini.
Magige alisema takwimu hizo zimetokana na utafiti wa mauzo ya bidhaa hizo kupitia
mawakala wao waliosambaa katika mkoa mzima wa Arusha kusaidia
kufikisha bidhaa hizo katika maeneo yote yenye mjumuiko wa watu
mbalimbali.
mawakala wao waliosambaa katika mkoa mzima wa Arusha kusaidia
kufikisha bidhaa hizo katika maeneo yote yenye mjumuiko wa watu
mbalimbali.
Chanzo:Tanzania Daima
0 comments:
Post a Comment