Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
UKOSEFU wa mvua umetajwa kuwa ni sababu inayochangia kupanda kwa gharama za umeme nchini.
Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Nishati na
Maji (Ewura-CCC), Profesa Jamidu Katima, alitoa kauli hiyo mjini hapa
alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Maji
duniani.
Alisema kupanda kwa gharama ya umeme hakuwezi kukwepeka kutokana na
ukosefu wa mvua ya kutosha, hivyo kulazimika kutumia mafuta kuendesha
mitambo ya kuzalisha nishati hiyo ambayo ni ghali.
Chanzo:Tanzania Daima
0 comments:
Post a Comment