Aidha, wamesema hakuna sababu yoyote ya kujadili mambo ya katiba kwa
misingi ya kuingiza itikadi za vyama vya siasa badala yake wazingatie
masilahi ya nchi.
Akizungumza na Tanzania Daima jana, mmoja wa wananchi, Upendo Mollel, alisema katiba ni jambo nyeti, hivyo isifanyiwe mzaha.
Chanzo:Tanzania Daima
0 comments:
Post a Comment