Home » » MAPEMA LEO: KUTOKANA NA MVUTANO KATIKA BUNGE LA KATIBA LILILAZIMIKA KUAHIRISHWA MPAKA JIONI.

MAPEMA LEO: KUTOKANA NA MVUTANO KATIKA BUNGE LA KATIBA LILILAZIMIKA KUAHIRISHWA MPAKA JIONI.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 


Mvutano Mkubwa Bado Umetawala Bunge Maalum Linaloendelea Mkoani Dodoma Hali Iliyopelekea Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Hilo Mh Pandu Kificho Kuliahirisha Bunge Hilo Mchana Huu Mpaka saa Kumi Jioni.Mvutano Mkubwa Upo namna ya Kupitisha Kunini ya Kuongoza Kanuni hiyo Kanuni Kuhusu Maamuzi ya Bunge Maalum la Katiba Yapitishwe kwa Kura ya Siri ama ya Wazi. Mvutano huo umetokea pale Kundi Moja waliposema Ipigwe Kura ya
Kuamua Bunge Hilo Kutumia Kura ya Siri ama ya WaziNdipo Majibizano yalipoanza Yakiambatana na Kuzomea kwa Baadhi ya Wajumbe walipopewa nafasi ya Kuzungumza.Bunge Hilo Limepitisha kanuni zote kwa asilimia 95 zilizobaki ni mbili tu lakini uamuzi wake unaleta Mvutano Mkubwa sana Katika Bunge hilo

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa