Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mwenyekiti
Mteule wa Bunge hilo Bw. Samwel Sitta akibadilishana Mawazo na Mjumbe wa Bunge
Hilo Mohamed Seif Khatib ndani ya Ukumbi wa Bunge leo Mjini Dodoma.
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Bw. Thomas Kashilila akieleza wajumbe juu ya utaratibu wa upigaji kura kwa
nafasi ya Makamu Mwenyekiti leo Mjini Dodoma
Mgombea wa Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge
Maalum la katiba Bi. Amina Abdallah akinadi Sera zake kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la katiba
wakibadilishana Mawazo na Mwenyekiti wa Bunge Hilo Samwel Sitta(Aliyekaa).Leo
mjini Dodoma
Mgombea wa Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge
Maalum la katiba Bi. Amina Abdallah akimpongeza Bi. Samia Suluhu Hassan baada
ya Kutangazwa kuwa Makamu mweyekiti wa Bunge Maalum la Katiba.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Samia Suluhu Hassan
akitoa shukrani zake kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba baada ya Kuteuliwa
kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo.
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samia
Suluhu Hassan akimkumbatia Mwenyekiti wa Bunge Hilo Samwel Sitta Leo Mjini
Dodoma
Picha na Hassan Silayo MAELEZO







0 comments:
Post a Comment