4pm
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Kayanza Peter Pinda akiongea na waandishi wa habari leo mjini Dodoma juu ya mambo mbalimbali ikiwemo kuwaomba wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuepuka mivutano na badala yake wazingatie mambo muhimu yatakayosaidia Taifa na Watanzania kupata Katiba mpya. (Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO- Dodoma).
6pm