Home »
» Wajumbe Bunge Maalum la Katiba Waunga mkono Azimio la Kutunga na Kupitisha kanuni za Bunge Maalum la katiba.
Wajumbe Bunge Maalum la Katiba Waunga mkono Azimio la Kutunga na Kupitisha kanuni za Bunge Maalum la katiba.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
 |
|
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mwenyekiti wa Kamati ya
Uundaji wa Kanuni zitazotumika katika bunge Maalum la Katiba Prof. Costa Ricky
Mahalu akisoma azimio la kutunga na kupitisha kanuni za bunge Maalum.
|
 |
|
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mwenyekiti wa Chama cha
Wananchi CUF Prof. Ibrahim Lipumba akiiunga Mkono Azimio la Kutunga na
Kupitisha kanuni za Bunge Maalum la katiba leo Mjini Dodoma.
|
 |
|
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Dkt. Fransis Michael
akiwaomba wajumbe wa bunge maalum la katiba kuunga mkono na Kupitisha Azimio la
Kutunga na Kupitisha kanuni za Bunge Maalum la katiba ili kuwa na umoja na
kutekeleza jukumu hili la kitaifa leo Mjini Dodoma.
|
 |
|
Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba na Naibu Waziri Wizara ya
Elimu na Mafunzo ya Ufundi Jenista Mhagama akiunga Mkono Azimia la Kutunga na
Kupitisha kanuni za Bunge Maalum la katiba leo Mjini Dodoma.
|
 |
|
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bw. James Mbatia akiunga Mkono Azimia
la Kutunga na Kupitisha kanuni za Bunge Maalum la katiba na kuwataka wajumbe wengine
kufanya hivyo ili kuanza kikao cha bunge maalum la katiba leo Mjini Dodoma.
|
 |
|
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Panya Ally Abdalah(Mwenye mtandio wa Zambarau) akiiunga
Mkono Azimia la Kutunga na Kupitisha kanuni za Bunge Maalum la katiba leo Mjini
Dodoma.
|
 |
|
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Sheikh. Mussa Kundecha
akiwataka wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Kuwa wamoja na Kupitisha Azimio la
Kutunga na Kupitisha kanuni za Bunge Maalum la katiba leo Mjini Dodoma.
|
 |
|
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Askofu Amon Muhagachi akiunga
mkono Azimio la Kutunga na Kupitisha kanuni za Bunge Maalum la katiba na
kuwataka wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuunga mkono azimio kwa maslahi ya
Taifa.
|
 |
|
Mwenyekiti wa Muda wa Bynge Maalum la Katiba akiwaleza jambo
wajumbe wa Bunge Hilo kabla ya kuahirishwa mpaka kesho jioni na Kuwataka wale
wanaotaka kuchukua fomu ya uenyekiti kuanza kuzichukua leo.
|
 |
|
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Frederick Msigala akiunga
Mkono Azimio la Kutunga na Kupitisha kanuni za Bunge Maalum la katiba.
|
(Picha na Hassan Silayo-MAELEZO)
0 comments:
Post a Comment