Home » » SEMINA ZA WABUNGE WA BUNGE LA KATIBA NA ALAT MJINI DODOMA LEO

SEMINA ZA WABUNGE WA BUNGE LA KATIBA NA ALAT MJINI DODOMA LEO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
12c15Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ummy Mwalimu(kushoto), Mchungaji Peter Msigwa(wa pili kushoto) , Vincent Nyerere( wa pili kulia ) na Shamsa Mwangunga(kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya semina kuhusu Katiba mpya na Serikali za mitaa. 1Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mustapha Akunaay akichangia maoni yake leo mjini Dodoma katika mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa. 2Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Siti Abbas Ali akichangia maoni yake leo mjini Dodoma katika mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa. 3Meya wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Massaburi (kulia) akisalimiana na wajumbe wa Bunge la Katiba Profesa Mark Mwandosya (kushoto) na John Shibuda(katikati) leo mjini Dodoma mara baada ya kumalizika kwa semina ya wajumbe hao iliyoandaliwa na Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa. 4Meya wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Massaburi (katikati) akibadilishana mawazo na Waziri wa Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (TAMISEMI) Hawa Ghasia (kulia) na Katibu Mkuu wa salimiana na Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania Habraham Jacob Shamumoyo (kushoto) mara baada ya semina ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa. 5a Profesa Suleiman Ngware akitoa mada kuhusu Katiba na Serikali za Mitaa leo mjini Dodoma wakati wa semina ya wajumbe wa Bunge la Katiba ya kuwaelisha juu ya umuhimu wa kuiweka Serikali za Mitaa katika Katiba mpya. 6Meya wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Massaburi (kushoto) akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba(kulia) leo mjini Dodoma kabla ya semina ya wajumbe hao iliyoandaliwa na Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa. 7bMeya wa Jiji la Dar es salaaam Dkt. Didas Massaburi akitoa mada kuhusu Katiba na Serikali za Mitaa leo mjini Dodoma wakati wa semina ya wajumbe wa Bunge la Katiba ya kuwaelisha juu ya umuhimu wa kuiweka Serikali za Mitaa katika Katiba mpya.
8aWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Hawa Ghasia akifungua semina ya siku moja leo mjini Dodoma ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba waliokuwa wakijadili ukuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa. 9aaadhi wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa katika semina leo mjini Dodoma kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa. 10aMjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Mark Mwandosya akichangia maoni yake leo mjini Dodoma wa kuboresha mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa. 11Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Mark Mwandosya akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wenzake leo mjini Dodoma juu ya kuboresha mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Moses Machali akichangia maoni yake leo mjini Dodoma wa kuboresha mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.

13Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Esther Juma (kushoto)na James Mbatia (kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya semina kuhusu Katiba mpya na Serikali za mitaa.
14Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Shamin Khan akichangia maoni yake leo mjini Dodoma wa kuboresha mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
chanzo Full shamgwe blog

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa