Home » » Bunge lapitisha Bajeti ya Serikali kwa kura za ndiyo

Bunge lapitisha Bajeti ya Serikali kwa kura za ndiyo

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akijibu Hoja za Wabunge kabla ya Bunge kukaa na kupiga kura kuamua Bajeti ya serikali  kwa Mwaka 2014-015.
  Wabunge wakimsikiliza Waziri wa fedha Mhe Saada wakati akijibu hoja za waheshimiwa Wabunge kabla ya zoezi la kupiga kura kwa ajili ya kupitisha Bajeti ya serikali kwa mwaka 2014-2015.
 Spika wa Bunge akiendesha kikao cha Bunge la Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2014-2015 akisaidiwa na Makatibu wa Bunge mbele yake wakati waziri wa Fedha akijibu hoja za wabunge.
 Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya (aliye vaa kilemba) akitoka katika ukumdi wa Bunge akiongozana na Naibu waziri, mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Serikali kwea mwaka 2014-2015 kwa zaidi ya kura miambili.
 Maofisa wa wizara ya Fedha wakiwapongeza Mawaziri wa Wizara yao mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya mwaka Serikali  kwa Mwaka wa fedha 2014-2015.Na Deusdedit Moshi Mtendaji Mkuu wa Photo Solutions wawa kilishi wa Michuzi Blog kanda ya Kati.

Kwa hisani ya Michuzi   Blog


0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa