Mwenyekiti
wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri
Kuu ya CCM ambacho kimemalizika leo mjini Dodoma na kutoka na mazimio
ya kupitisha sera ya chama kujiendesha kiuchumi na kuondokana na
utegemezi wa ruzuku ya serikali.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula akiandika baadhi ya mambo muhimu ya kufafanua katika suala la maadili ndani ya Chama.
Dk.Asha-Rose Migiro akizungumzia mambo mbali mbali yanayohusiana na siasa na mahusiano ya kimataifa kwenye kikao cha NEC kilichomalizika leo tarehe 17 Oktoba 2014 ,mjini Dodoma
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula akiandika baadhi ya mambo muhimu ya kufafanua katika suala la maadili ndani ya Chama.
Dk.Asha-Rose Migiro akizungumzia mambo mbali mbali yanayohusiana na siasa na mahusiano ya kimataifa kwenye kikao cha NEC kilichomalizika leo tarehe 17 Oktoba 2014 ,mjini Dodoma
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment