Home » » NEWS ALERT: MAHAKAMA KUU IMESIMAMISHA MJADALA WA RIPOTI YA ESCROW KUJADILIWA BUNGENI

NEWS ALERT: MAHAKAMA KUU IMESIMAMISHA MJADALA WA RIPOTI YA ESCROW KUJADILIWA BUNGENI

UPDATES:

Tumepata taarifa muda huu kutoka kwa mtu aliyeko Mahakama Kuu kuwa kutokana na taarifa iliyokuwa inaelezwa kuwa jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu watasikiliza kesi iliyofunguliwa na IPTL na PAP kuzuia bunge kujadili suala la Escrow.



Imeamriwa na Mahakama Kuu chini ya jopo la majaji watatu kuwa wamesimamisha mjadala wa Ripoti ya Escrow hadi hoja za msingi zitakapo fanyiwa kazi.

CHANZO: ITV TANZANIA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa