Dr
Nelson Ishengoma akiwa katika pozi mara baada ya kutunukiwa shahada
yake ya udaktari katika Mahafali ya Tano ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)
yaliyofanyika jana katika viwanja vya Chimwaga vilivyopo Chuoni hapo.
Hongera
sana Mwalimu wangu na sasa Mwanzo wa Jina linaanza na Dr. Sio kazi
rahisi lakini Mungu ameweza kukusimamia na kukuongoza. Nakuombea kwa
Mungu ufanikiwe zaidi na zaidi. Kutoka Kwa Mwanafunzi wako Josephat Lukaza
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment