Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Mh. Jenista Mhagama
akimkabidhi Cheti cha Ushiriki Mkuu wa Kitengo cha
Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika wakati wa kilele cha Maonesho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala
pa kazi yanaondelea mkoani Dodoma.
Afisa wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA) Bw. Athuman Juma akitoa maelezo kwa wananchi ,
kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Mamkala hiyo, wakati wa Maonesho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala
pa kazi.
Mwakilishi kutoka mgodi wa
North Mara, Fatuma Msumi alipotembelea banda la SSRA
katika maonesho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa kazi mkoani Dodom.
Afisa Uhusiano na Uhamasiahaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bw. Ally Masaninga akifafanua jambo kwa moja wa wadau waliohudhuria Maonesho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala
pa Kazi yanayofanyika mkoani Dodoma.
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika, akikionesha cheti cha ushiriki wakati wa Maonyesho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala
pa kazi, yanaondelea mkoani Dodoma.
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika, akimkabidhi fulana mmoja wa wananchi waliotembelea banda
la SSRA, wakati wa maonesho hayo.
Baadhi ya wananchi waliotembelea banda
la SSRA, wakipata maelezo kutoka kwa Afisa Uhusiano wa SSRA, Bw. Ally Masaninga katika maonesho hayo.
0 comments:
Post a Comment