Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Waziri wa Nchi Ofisi
ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista
Mhagama akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye
Ulemavu Bi. Ummy Nderinanga wakati wa mkutano wao na Waziri huyo ili
kujadili utekelezaji wa majukumu uliofanyika Ukumbi wa mikutano wa ofisi
hiyo Bungeni Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi
ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista
Mhagama akizungumza jambo wakati wa mkutano wake na Viongozi wa
SHIVYAWATA kujadili utekelezaji wa majukumu yao katika Ukumbi wa Ofisi
yake Bungeni Dodoma Aprili 27, 2017.
Wajumbe wa mkutano wa
uongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu nchini
wakifuatilia maelekezo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama wakati
wa kikao chao Mjini Dodoma tarehe 27 Aprili, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi
ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista
Mhagama akiendesha mkutano na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu
Wenye Ulemavu walipokutana ofisini kwake Dodoma kujadili utekelezaji wa
Majukumu yanayowahusu.
Waziri wa Nchi Ofisi
ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista
Mhagama (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa
SHIVYAWATA mara baada ya kumaliza mkutano wao, kushoto kwake ni Naibu
wake (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Antony Mavunde.
(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU - DODOMA)
0 comments:
Post a Comment