Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akimsikiliza Mheshimiwa
Abdullah Makame (katikati) ambae ni kiongozi wa msafara wa Wabunge wa
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Tanzania walipomtembelea leo
Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akizungumza na Wabunge wa

0 comments:
Post a Comment