Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Wabunge wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioshiriki mafunzo ya kuwajengea uwezo
wa utendaji wao wa kazi nchini China katika kikao kilichofanyika leo
ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akipokea zawadi aliyopewa na
Chuo Kikuu cha Guangdong kilichopo Jijini Guangzhou China, wakati wa
ziara ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini
China, zawadi hiyo ilikabidhiwa na kiongozi wa Msafara , Mheshimiwa.
Augustino Masele (kushoto) na wengine ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania walioshiriki mafunzo ya kuwajengea uwezo wa
utendaji wao wa kazi nchini China katika tukio lililofanyika leo ukumbi
wa Spika Mjini Dodoma.
Wabunge
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakimsikiliza Spika wa
Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) wakati wa kikao kilichofanyika
leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa
Kiongozi wa Msafara, Mheshimiwa Augustino Masele (kushoto) iliyotoka
Chuo Kikuu cha Guangdong kilichopo Jijini Guangzhou China, wakati wa
ziara ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini
China, katika tukio lililofanyika leo ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (watatu kulia mbele) akiwa katika picha
ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
walioshiriki mafunzo ya kuwajengea uwezo wa utendaji wao wa kazi nchini
China katika tukio lililofanyika leo ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
0 comments:
Post a Comment