Home » » ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA MIFUGO LASHIKA KASI MANISPAA YA DODOMA

ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA MIFUGO LASHIKA KASI MANISPAA YA DODOMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Ofisa mifugo wa Kata ya Chahanga katika Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma William Gervas akimpiga chapa Ng'ombe wakati wa zoezi la upigaji chapa mifugo linaloendelea katika Halmashauri hiyo. PICHA NA RAMADHANI JUMA.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa