Mwenyekiti
wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Hawa Ghasia akizungumza na
Wajumbe wa kamati hiyo pamoja na viongozi wakuu kutoka Wizara ya fedha
na Mipango walioongozwa na Waziri wa fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip
Mpango wakati wa kupitia na kujadili Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa
fedha 2018/2019, katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Pius Msekwa
Mjini Dodoma.
Mjumbe
wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Albert Ntabaliba
akizungumza wakati wa kupitia na kujadili Bajeti ya Serikali kwa Mwaka
wa fedha 2018/2019 katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Pius Msekwa
Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Hawa Ghasia
akizungumza na Wajumbe wa kamati hiyo pamoja na viongozi wakuu kutoka
Wizara ya fedha na Mipango (hawapo kwenye picha) wakati wa kupitia na
kujadili Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2018/2019. Kushoto ni
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango katika kikao
kilichofanyika leo ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Mjumbe
wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Maria kangoye akizungumza
wakati wa kupitia na kujadili Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa fedha
2018/2019 katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Pius Msekwa Mjini
Dodoma. kushoto ni Mjumbe wa kamati hiyo Mhe. Riziki Lulidi
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
0 comments:
Post a Comment