Home » » TAMASHA LA PASAKA UWANJA WA JAMHURI DODOMA LAZIDI KUPAMBA MOTO

TAMASHA LA PASAKA UWANJA WA JAMHURI DODOMA LAZIDI KUPAMBA MOTO


 Mwimbaji wa muziki wa injili Upendo Nkone akiwaimbisha washabiki wa muziki wa injili katika Tamasha la muziki la Pasaka linaloendelea jioni hii kwenye uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma kumefurika mashabiki wengi katika uwanja huo na watu wanafurahi kwelikweli kama wanavyoonekana wakinyanyua mikono yao juujuu.

Jana Tamasha hilo lilifanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam huku waimbaji wakubwa kutoka Nje ya Tanzania na ndani ya nchi wakifanya mambo makubwa kwa mwenyezi mungu
 Mwimbaji wamuziki wa injili Upendo Nkone akicheza kwa mfuraha na mashabiki wake wakati akfanya vitu vyake kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
 Mashabiki wakiwa wameketi kwenye viti katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.

 Mwimbaji Anastazia Mukabwa kutoka nchini Kenya akifanya mambo makubwa huku mashabiki wakifurahia burudani hiyo wakati akiwaambia wavue viatu.
 Mwimbaji Anastazia Mukabwa kutoka nchini Kenya naye akiimbisha mashabiki wake
 Kundi la Worriars Band likifanya vitu vyake jukwaani kama linavyoonekana katika picha.
Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama akifafanua jambo kwa MC wa Tamasha hilo MC Mwakipesile, katikati ni mratibu wa Tamasha Hudson Kamoga.
Picha zote kwa hisani ya Full Shangwe Blog

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa