Majaji wakifanya majadilianokalbla ya kuanza kwa usaili huo uliofanyika mjini Dodoma jana kutoka kulia ni jaji Salama Jabir, Mkurugenzi wa Benchmark Production na Master J.
Washiriki wa usaili huo wakiwa katika mstari wakisubiri taratibu zikamilike ili waanze.
Mshiriki Fabian Peter Kikoko akitoa burudani wakati washiriki wakisubiri kuingia kwa majaji ili kuanza usaili. Chanzo: www.fullshangweblog.com
0 comments:
Post a Comment