Afisa wa Idara ya utoaji wa damu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama
kanda ya Mashariki Judith Goshashi akimtoa damu mwanafunzi wa shule ya
sekondari ya wasichana ya Kondoa Levina Peter wakati wa maadhimisho
ya siku ya mchangiaji damu yaliyofanyika kikanda wilayani hapa
juzi.Picha na Masoud Masasi.
Meneja wa Mpango wa Taifa wa Damu salama kanda ya Mashariki Grace
Mlingi akizungumza na wakazi wa wilaya ya Kondoa juu ya uchangiaji
damu wakati wa maadhimisho ya siku ya mchangiaji damu yaliyofanyika
kikanda wilayani hapa juzi.
Picha na Masoud Masasi Dodoma yetu Blog





0 comments:
Post a Comment