Home » » MATUKIO KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO

MATUKIO KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO



Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe akielekea ndani ya ukumbo wa Bunge mjini Dodoma Aug,1,2012 kwaajili ya kusoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa Fedha,2012-2012 
Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais- Asiye na Wizara Maalumu Prof,
Mark Mwandosya akitoa shukurani Aug,1,2012 kwa Serikali na Wananchi
waliomuombea wakati akiwa mgojwa hadi kupata nafuu na kuweza kurudi
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki akijibu hoja
mbalimbali  Bungeni leo kuhusu wizara yake,
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Kabwe Zitto (kulia) akitoa maelezo
binafsi kwa waandishi  wa habari Aug. 1,2012 kuhusu tuhuma za rushwa
dhidi yake hususan kuelekea katika kupitisha bajeti ya Wizara ya Nishati.
Pichani mwengine ni  Prof. Koyela Kahigi (CHADEMA). Picha na Mwanakombo
Jumaa- MAELEZO,

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa