Nyumbani kwa bunge la jamuhuri wa muhungano wa Tanzania Dodoma yetu hiyo, kwa wale walio ughaibuni na awajafika nyumbani miaka ya hivi karibuni ndio Dodoma yetu inavyoonekana
| Dodoma city center hapo |

Huu ni mnara wa sanamu ya kumbukumbu ya baba wa Taifa uko Dodoma
| Muammar Gaddafi Masjid, imeletwa kwenu na Ny Ebra vijimambo New York |
0 comments:
Post a Comment