Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Baadhi
ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa wakati alipozungumza nao
Ofisini kwake Mjini Dodoma Januari 21, 2016.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Georoge Simbachawene
akizungungumza kabla ya kukaribisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
kuzungumza na Wafanyakazi wa TAMISEMI mjini Dodoma Januari 21, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akipokea zawadi ya kikombe kutoka kwa Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene ikiwa ni ishara ya
Ofisi hiyo kutambua mchango wake wa kuendeleza michezo wakati akiwa
Naibu Waziri katika Wizara hiyo . Mheshimiwa Majaliwa alizungumza na
watumishi wa TAMISEMI mjini Dodoma Januari 21, 2016.

Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa wa
TAMISEMI baada ya kuzungumza nao mjini Dodoma Januari 21, 2016.Kulia
kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene na
kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI, Benard Makali.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Naibu Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Benard
Makali baada ya kuzungumza na Watumishi wa Ofisi hiyo mjini Dodoma
Januari 21, 2016. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI ,
George Simbachawene na katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni
wa LAPF, Eliudi Sanga.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
TAMISEMI , George Simbachawene baada ya kuzungumza na Watumishi wa Ofisi
hiyo mjini Dodoma Januari 21, 2016. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa
TAMISEMI, Benard Makali na wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa
Pensheni wa LAPF, Eliudi Sanga.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment