Madaktari bingwa kutoka Marekani wakishirikiana na madaktari wa hapa nchini wakitoa huduma za upasuaji katika Hospital Mpya ya Benjamin Mkapa iliyopo Chuo Kikuu cha Dodoma ya Benjamin Mkapa
Madaktari bingwa kutoka Marekani wakishirikiana na madaktari wa hapa nchini wakitoa huduma za upasuaji katika Hospital Mpya ya Benjamin Mkapa iliyopo Chuo Kikuu cha Dodoma ya Benjamin Mkapa
Hospital
Mpya iliyopo Chuo Kikuu cha Dodoma ya Benjamin Mkapa kwa kushirikiana
na wataalamu kutoka vyuo vya UTAH (Moran aye Centre) na Chuo cha Weil
Cornell Medicine vyote vya nchini Marekani wanatoa huduma za uchunguzi
na matibabu ya macho.
Vifaa
vya Kisasa kabisa na madaktari bingwa hawa watakuwepo kuanzia tarehe 22
hadi 25 mwezi huu wa pili 2016.Huduma hizi zinatolewa bure kabisa. Hii
ni kutoka na Mahusiano yaliyopo kati ya Chuo Kikuu cha Dodoma na vyuo
hivi.
Watu
300 wanatarajiwa kupata huduma ya upasuaji kwa kipindi hiki. Katika
Mahojiano na Dr. Jeff kutoka Chuo Kikuu cha UTAH (Moran aye Care alisema
kuwa wanafanya huduma hizi pia nchi nyingi lakini kwa Dodoma tatizo ni
kubwa zaidi. Alieleza kuwa mpango wao kwa sasa ni kuja Dodoma mara mbili
kwa mwaka.
Pia
wanasaidia sana katika kuwafundisha madaktari wetu wa kitanzania na
hadi sasa Dr. Frank ambaye ni mwalimu katika Chuo cha afya cha Chuo
Kikuu cha Dodoma amefaidika na mafunzo hayo na tayari anafundisha
madaktari wengine.
Madaktari bingwa kutoka Marekani wakishirikiana na madaktari wa hapa nchini wakitoa huduma za upasuaji katika Hospital Mpya ya Benjamin Mkapa iliyopo Chuo Kikuu cha Dodoma ya Benjamin Mkapa
Madaktari bingwa kutoka Marekani wakishirikiana na madaktari wa hapa nchini wakitoa huduma za upasuaji katika Hospital Mpya ya Benjamin Mkapa iliyopo Chuo Kikuu cha Dodoma ya Benjamin Mkapa.
0 comments:
Post a Comment