Home »
» Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania ametembelea shule za msingi Mjini Dodoma kuona utekelezaji wa Mpango wa Kuinua ubora wa elimu Nchini unaotekelezwa na Wizara ya Elimu chini ya ufadhili wa Serikali ya Uingereza
Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania ametembelea shule za msingi Mjini Dodoma kuona utekelezaji wa Mpango wa Kuinua ubora wa elimu Nchini unaotekelezwa na Wizara ya Elimu chini ya ufadhili wa Serikali ya Uingereza
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
|
Balozi
wa Uingereza Nchini Tanzania, Sarah Cooke akisikiliza maelezo kutoka kwa
Mratibu Elimu Kata ya Msalato Ally
Swalehe juu ya mfumo wa taarifa shuleni,
ambapo mpango umetoa tablet kwa walimu
wakuu na waratibu elimu kata. Kushoto kwake ni afisa elimu Mkoa wa Dodoma,
Maria Lyimo.
|
|
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Msalato wakiimba wimbo wa
kumkaribisha Balozi wa Uingereza Nchini
alipotembelea shule hiyo. |
|
Wanakijiji
wa Chihanga ambao walihamasika na programu ya kuinua ubora wa elimu Nchini na kuanzisha kituo cha utayari kwa watoto wao ambao walikuwa wanashindwa kwenda
kwenye shule mama kutokana na umbali,
wakicheza ngoma ya kigogo kumkaribisha Balozi.
|
|
Balozi Sarah Cooke akiwa na watoto wa kituo cha
utayari cha Chihanga ambapo kabla ya hapo watoto hao walikuwa nyumbani ,
uwepo wa kituo hicho umewawezesha watoto kufurahia michezo mbali mbali kama vile kuimba na kujifunza maneno ya Kiswahili ili wawe tayari kwa kuanza darasa
la kwanza. Kituo kilianzishwa mwaka jana na hii ni awamu ya pili ambayo ina jumla ya watoto 64 |
|
Balozi
akifurahia jambo na Afisa Elimu wa mkoa wa Dodoma, Maria Lyimo
|
|
Baadhi
ya zana za kujifunzia watoto katika kituo cha utayari Chihanga
|
|
Balozi
akikaribishwa katika kituoa cha utayari Chihanga
|
|
Watoto
wa kituo cha utayari wakiwa wamejiandaa kumuimbia balozi baadhi ya nyimbo wanazojifunza kituoni.
|
0 comments:
Post a Comment