Home » » RC MAHENGE AFANYA ZIARA WILAYA YA KONDOA

RC MAHENGE AFANYA ZIARA WILAYA YA KONDOA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Waziri Mkuu Mstaafu, John Samwel Malecela (mwenye kofia ya njano) akimuonesha Mkuu wa Mkoa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge mizabibu iliyopandwa kwenye shamba la Chinangali II Wilayani Chamwino wakati wa Ziara ya Dkt. Mahenge Wilayani humo.
 Mkuu wa Mkoa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge na ujumbe alioambatana nao wakipata maelezo juu ya mashine ya kusukumia maji kwa ajili ya umwagiliaji wa matone kwenye shamba la zabibu la Chinangali II Wilayani Chamwino wakati wa Ziara ya Dkt. Mahenge Wilayani humo.
 Mkuu wa Mkoa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge na ujumbe alioambatana nao wakikagua bwawa la kutunzia maji kwa ajili ya umwagiliaji wa matone kwenye shamba la zabibu la Chinangali II Wilayani Chamwino wakati wa Ziara ya Dkt. Mahenge Wilayani humo.
 Mkuu wa Mkoa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge akikagua nyaraka na kusikiliza kero za wananchi kwenye mkutano wa hadhara Kijiji cha Manzase  Wilayani Chamwino wakati wa ziara yake.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dodoma Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa